ANDIKA LA KISERA, CHANGAMOTO ZA NISHATI YA KUNI NA MKAA NCHINI TANZANIA KUSHUGHULIKIA UKATAJI MITI OVYO NA UHARIBIFU WA MISITU.
Library
Policy report / Briefing
Andiko hili la kisera linatokana na uzoefu uliopatikana
katika utekelezaji wa miradi mitano ya ustahimili wa
mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania, iliyofadhiliwa
na Umoja wa Ulaya chini ya mpango wa Global
Climate Change Alliance (GCCA), katika kipindi
cha 2015 mpaka 2019. Miradi ya GCCA ilitekelezwa
katika kanda tofauti tofauti za kilimo Tanzania
(agro-ecological zones) na ilijikita kwenye shughuli
zinazolenga kupunguza uharibifu wa misitu na ukataji
miti hovyo. Andiko hili la kisera linaelezea kwa ufupi
mafanikio yaliyopatikana na changamoto zilizojitokeza
na linatoa jumbe muhimu na mapendekezo ya kisera
yatakayosaidia katika usimamizi endelevu wa maeneo
ya misitu.
1
View
737
Downloads
0
0
Comments
Document details
Document info:
Others
(1.26 MB - PDF)
Created:
Log in with your EU Login account to post or comment on the platform.