ANDIKA LA KISERA, USIMAMIZI WA MAENEO YA MALISHO WITO WA KUWA NA MTIZAMO MPANA
Library
Policy report / Briefing
Andiko hili la kisera linatokana na uzoefu uliopatikana
katika utekelezaji wa miradi mitano ya ustahimilivu wa
mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania, iliyofadhiliwa
na Umoja wa Ulaya chini ya Mpango wa Global
Climate Change Alliance (GCCA) na kutekelezwa
katika kipindi cha mwaka 2015 mpaka 2019. Miradi
ya GCCA ipo katika kanda tofautitofauti za ikolojiakilimo
(agro-ecological zones). Andiko hili la kisera
linaelezea kwa ufupi mafanikio yaliyopatikana na
changamoto zilizojitokeza katika kuboresha usimamizi
wa maeneo ya malisho katika maeneo ya wafugaji.
Andiko linatoa ujumbe muhimu na mapendekezo ya
kisera yatakayosaidia katika usimamizi endelevu wa
maeneo haya ya malisho.
2
Views
736
Downloads
0
0
Comments
Document details
Document info:
English
(740.23 KB - PDF)
Created:
Log in with your EU Login account to post or comment on the platform.